.

Showing posts with label tangazo. Show all posts
Showing posts with label tangazo. Show all posts

CHINA WAITEKA SABA SABA

 MAONYESHO YA 36 YA SABA SABA......



KIJANA CHUI HUYO......
leo mdau ya SK NETWORK  ilikuwa  saba saba akifwatilia mambo ya fulani fulani katika banda moja wapo maeneo hayo..katika ripoti yake mdau wetu amekiri kuwa sabasaba ya sasa imekuwa na bidhaa nyingi sana za kutoka china .mpaka bidhaa zili ambazo tumezoea kuziona kwa wajasiliamali wa kawaida kabisa kutoka sido na wachina pia wanazo..ingawa si vibaya lakini kwa maono yake na wadau wachache waliohojiwa wamekiri kuwa china inanguvu kubwa ya matangazo na wanaummoja kutuzidi watanzania kiasi kwamba wanapata watazamaji wengi kuliko hata mabanda mengine ya bidhaa za aina kama yao...mabanda ya watanzania sasa  wengi wao  wamekutwa wakiwa wemenyongonyea na wengine hawakaribishi hata wateja..na pia mpangilio wa bidhaa zao hauvutie mteja kuangalia mara mbili... kama kweli tunahitaji kuwa  kwenye ushindani wa biashara na mataifa mengine kama Kenya na China ...basi inabidi tubadilike tuache kuweka vinyago na makatuni mlangoni wakichekesha wateja,,,bali tujitahidi kuweka bidhaa ,mabango ya kuvutia na  wahudumu wachangamfu.Benki fulani fulani zimechukua vijana na kuwaweka barabaran kuhamasisha wateja  jambo hilo si baya bali vijana hao muda mwengine wanageuka usumbufu pale unapokubali kuzungumza nao....Tembeleeni saba saba ya mwaka huu na uje na maoni yako na sisi tutayaweka hewani...











UCHUNGUZI KUHUSU SAKATA LA ULIMBOKA INABIDI UFANYIKE HARAKA IWEZEKANAVYO.





TUME YA HAKI ZA BINADAMU IMESITUSHWA SANA NA KITENDO CHA KINYAMA ALICHOFANYIWA DR ULIMBOKA ,,TUME HIYO YA HAKI ZA BINADAMU NA WANAHARAKATI WENGINE WAMEOMBA UFANYIKE UCHUNGUZI WA HARAKA ILI KUJUA NANI KAHUSIKA NA SAKATA HILI NA ACHUKULIWE HATUA STAHIKI MARA MOJA..

Picha za DR ULIMBOKA.




BREAK NEWS:madaktari wamshambulia mtu muhimbili

mtu ambaye hajafahamika vizuri kuwa ni afisa usalama ua la aliyekuwa akiranda randa maeneo ya muhimbili amejikuta akipata kipigo kutoka kwa madaktari na kuchaniwa nguo...mtu huyo ambae kwa sasa yupo kituo cha polisi pale hospitali muhimbili akihojiwa na maafisa wa usalama ....(taarifa hii imetolewa muda si mrefu ndani ya super mix ya EA radio).kaa nasi tutakupa taarifa zaidi juu ya sakata hili jipyaaaa....

SHUKRANI KUTOKA SK-NETWORK

SK-NETWORK ni mtandao bora na wa kisasa unaomilikiwa na vipeperushi company .kampuni inayohusika na utoaji na usambazaji wa vijarida vya matangazo nchini Tanzania inawatangazia umma wa watanzania kuwa wako katika hatua za mwisho za kubora huduma zao za matangazo ya hewani na nchi kavu(usambazaji wa vijarida)kuwa ya kisasa na kuwafikia watanzania milioni 1 ndani na nje ya nchi yetu.Hivyo basi tunafuraha kubwa kuwataarifu watazamaji wa blog zetu  kuwa tunaendelea kukuwa na kwa sasa tunatazamwa na watu wengi kutoka ndani na nje ya mpaka yetu.Tunakushukuru wewe mtazamaji wetu kwa kuchukuwa muda wako kuwaambia  jamaa,ndugu,marafiki nawapendwa wako kuhusu mtandao wetu  na jinsi ya kuupata ili nao waweze kupata habari na kuhabarika kwa haraka.Ili adhima yetu iweze kutimia ya kuwafikiwa watanzania milioni 1kwa siku. Tunakuomba uendelee kuwataafifu na jamaa wengine ambao kwa namna moja au nyingine hawajafikiwa na taarifa kuhusu SK-NEWORK.
Kumbuka kwa sasa SK-NETWORK inatoa ofa ya kutangaza bure kwenye blog yake ya masokoni.blogspot.com.changamkia fursa hii sasa kabla ofa haijaisha.

mnyika kafafanuaaa kauli zakee

Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu. Na yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.
Pia kwa mujibu wa Katiba Rais ndiye ambaye anapeleka bajeti bungeni, Waziri mwenye dhamana anapeleka tu kwa niaba. Rais amepewa mamlaka makubwa juu ya bajeti ibara ya 99 imeweka mipaka kuhusu mambo ambayo bunge lina mamlaka nayo huku ibara ya 90 inasema bunge likikataa bajeti rais anamamlaka ya kumuamrisha waziri wa fedha aiondowe bajeti……kwa hisani ya global publisher.



Multiple Bombing: Allah Has Given Us Victory Over Christians + Christians must all convert to Islam---Boko Haram


The Jama’atu Ahlus Sunnati Lidda’awati Wal Jihad, otherwise known as Boko Haram has claimed responsibility for the bombing of three churches that claimed about 50 lives and scores injured in the northern cities of Zaria and Kaduna on Sunday. Thanking Allah for giving them victory in carrying out their task.

The sect spokesperson, Abu Qaqa in a statement said the multiple attacks was a reprisal of Christians’ past killings of Muslims and vandalism of Mosques in Zonkwa, Yelwan Shendam, Tafawa Balewa, where they said Mosques were turned into brothels and drinking joints, while Christians continue to carry on with impunity and government support.

The however affirmed that for peace to reign, Christians must all convert to Islam.

In the statement, it reads, “today (Sunday) Almighty Allah has given us victory against Christian Churches in Kaduna and Zaria which led to the deaths of many Christians and security operatives.”

The statement also claimed that Almighty Allah has tasked all Muslims in Quran chapter 9 v 29 to launch attack against Jews and Christians who refused to believe in him, his messenger, Prophet Mohammed.The radical sect also affirmed that attacks against Christian children and women would continue, since security personnel now attack their women and children.

kwa hisani ya nigeria media

mapesa ya safari za JK yatoweka

SERIKALI imeanza uchunguzi wenye lengo la kubaini kama maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walifuata taratibu kutoa  Hazina Sh3.5 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya safari za Rais Jakaya Kikwete ndani na nje ya nchi.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa, Bernard Membe alisema jana kuwa fedha zinazochunguzwa ni zile zilitolewa kati ya Machi Mosi na Machi 8, mwaka huu kwa ajili ya safari za Rais Kikwete kwenda Geneva, Brazil, Adis Ababa na Arusha.

Wiki iliyopita gazeti moja la kila wiki liliripoti kuwa maofisa watano wa wizara hiyo wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa kwa ajili ya safari za rais kutoka benki moja nchini.

Fedha zilizotolewa kutoka Hazina ni Sh 3.5 bilioni wakati zilizokuwa zimepangwa kwa safari hizo ni Sh2 bilioni.Fedha hizo zinadaiwa kutolewa Hazina na maofisa waliokuwa wakikaimu nafasi mbalimbali, katika wizara hiyo.

Waziri Membe alisema wakati tukio hilo likitokea, yeye, naibu wake, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na Mhasibu Mkuu walikuwa safarini na kwamba nafasi zao zilikuwa zinakaimiwa.“Waliokuwa wanakaimu wali-process (andaa) fedha za safari pamoja na hazina, na fedha zikapatikana tarehe 8,” alisema Membe na kuongeza kuwa;

“Ofisa Masuhuri hakushirikishwa na uchunguzi wa kamati unaendelea ili kujiridhisha kama taratibu zote za kiutawala zilifuatwa,” alisema.

Alifafanua kwamba tayari walifanya uchunguzi uliohusisha Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Usalama wa Taifa na wakaguzi wawili kutoka wizarani hapo.“Hakuna tuliyemshuku ama kumuita mwizi kwa sababu hakuna hata fedha iliyoibwa, zote ziliingia kwenye akaunti ya wizara na nyingine zililetwa wizarani,” alisema.

Waziri huyo alisema uchunguzi wa kamati unaoendelea, sasa unalenga kuangalia kama taratibu zilifuatwa na wale waliokuwa wanakaimu.“Uchunguzi wa kamati utakapokamilika na kubainika makosa yalikuwa wapi utawekwa hadharani,” aliahidi.
Utabiri wake Chadema

Akizungumzia taarifa za kuitabiria Chadema ushindi mwaka 2015, Membe aliwatuhumu watu aliowaita maadui wake kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema wameshiriki kumlisha maneno ya kukitabaria ushindi chama hicho kikuu cha upinzani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

"Kuna taarifa za mimi kutabiria ushindi Chadema 2015. Naomba niseme kitu kimoja, kama kuna mtu anajua mimi niliwahi kufanya utabiri ajitokeze. Mimi siyo TB Joshua wa Nigeria, mtoto wa marehemu Shehe Yahaya au (jina la kampuni moja ya kimataifa)...ambao wao kila mara ndiyo hufanya utabiri," alisema Membe huku akionekana kuchukizwa na taarifa hizo.

Membe alifafanua kwamba, ni kweli alikutana na ujumbe wa Chadema nyumbani kwake jimbo la Mtama, mkoani Lindi na kufanya nao mazungumzo, lakini hakuwahi kutabiri kwamba chama hicho kikuu cha upinzani kingeweza kushinda mwaka 2015.

"Nikweli nilifanya mazungumzo na Chadema walipokuja jimboni kwangu Mtama. Tena walikuja bahati nzuri walikuta chakula cha mchana tayari, nikawakaribisha vizuri. Wapinzani si maadui, yaani watu walitaka niwafukuze chakula. Najua kuna watu hawakufurahia kuwaalika Chadema kuja kwangu," alisema Membe na kuongeza;

"Ni kweli niliongea nao. Niliongea nao mambo matatu, kwanza niliwapongeza kwa kujipenyeza hadi vijijini. Niliwaambia, ni vema mmetambua umuhimu wa kufika hadi vijijini maana mwaka 2010 mlilalamika kuibiwa kura wakati vijijini mlikuwa hamjafika. Lakini pia, nikawambia ni vema wametambua umuhimu wa kuanza kufanya siasa kwa kujenga hoja na tatu, nikawambia nyie fikeni vijijini sisi kina Membe hatujaanza kutimua vumbi."

Alifafanua kwamba, anaamini watu wa Chadema waliokuwapo katika mkutano huo ambao ni pamoja na Dk Slaa na Lema hawawezi kuzusha taarifa hizo zilizotolewa na kuongeza, "Nimesoma vizuri Political Science, adui wa kisiasa katika chama siku zote yumo ndani ya chama hicho. Kwa hiyo hata hili naamini limetoka kwa baadhi ya maadui ndani ya CCM na kwa Chadema ni maadui wa Chadema."  

Kuhusu APRM

Katika hatua nyingine, Membe alisema taarifa ya Tanzania kuhusu utekelezaji wa Mpango wa Kujitathmini wa Umoja wa Afrika (APRM), itajadiliwa mwakani nchini Addis Ababa.

Licha ya waziri huyo kukiri kwamba Tanzania inadaiwa dola za Marekani 800,000 za ada, alisema hiyo si sababu ya taarifa ya Tanzania kutojadiliwa mwaka huu kama ilivyotarajiwa.

Rais Kikwete alitarajiwa kuwasilisha ripoti ya Tanzania kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU), utakaofanyika Lilongwe, Malawi Julai 10 mwaka huu, lakini haitafanyika hivyo.
Wiki iliyopita gazeti hili liliripoti kuwa Rais Kikwete amezuiwa kuwasilisha taarifa ya Tanzania kutokana na deni hilo.

“Walitakiwa wajadili taarifa ile halafu walete maswali tujibu ndipo wataandaa taarifa ikajadiliwe,” alisema Membe na kuongeza;

“Watu wa APRM hawajaja, hivyo itajadiliwa katika mkutano wa Addis Ababa mwaka 2013,” alisema.
Tanzania inadaiwa dola za Marekani 800,000  deni ambalo ni malimbikizo ya ada ya dola 100,000 kila mwaka, kwa miaka minane mfululilizo tangu mwaka 2005.

“Mara kwa mara tumekuwa tukiwakumbusha Hazina kuhusu deni hili na si kwamba ndilo limezuia,” alisema. 






habari ni kwa hisani ya gazeti la mwananchi.

kim na kanye


kanye na kim

wapenz wapya wenye makeke ya kutosha hasa bi dada kim ni balaaa kwa vituko kama ingekuwa wanakaa huku bongo basi lazima kim angekuwa na pambana na wema hivi au uwoya ...maana mcharuko wake ni hatar tupu pande za obama

israel wawasulubisha msalabani waafrika:wayahudi noma sana.


hawa jamaa walimsulubisha Yesu kristu msalabani sasa wameahamia kwa waafrika ambao wengi ni watu toka sudani ya kusini na somalia wanawaita saratani ni lazima waondoke kwenye nchi ya weupi tu ....wao wamekuja kuchafua nchi ....sisi huku tunawanyeyekea kama nini weupeee ..wakati kwao wanatutimua hali kweli....ndugu zetu wanakufa huko israel ..tuweni makini..tuache kukimbiilia mambo tusiyoyajua ulaya ulaya unakimbilia utaenda kufa huko bure...tutulizane hapa hapa bongooooooooooooooooooooooo..........sawa wapendwaaaa

freemason walimualika rais mkapa pia walichangia MV BUKOBA

ON SATURDAY 9TH OCTOBER 2004
Freemasons Honoured by President Mkapa
Freemasons to donate tricycles, mattresses, mosquito nets etc.
Last evening Freemasons in Tanzania celebrated in Dar es Salaam 100 years of Freemasonry in East Africa at a gala banquet in a city hotel at which the Guests of Honour is expected to be President Mkapa and the First Lady. On that occasion Freemasons will donate 25 tricycles, mattresses, mosquito nets to orphanages and to a blind school.
Freemasons are helping many welfare causes in different parts of the country. Among them are the Kindwitwi Leprosy Centre in Utete; Mother Theresa Home for the Children, School for the Blind in Pongwe in Tanga Region; Orphanage and Leprosy Projects in Arusha; Montessori School in Mwanza; Mnazi Mmoja Hospital in Zanzibar; Missionaries of Charity and Buguruni School for the Deaf are all beneficiaries of our organization.
Freemasons have built a class room at Kinondoni Primary School, treated over 100 visually impaired patients in Dar es Salaam and Zanzibar and provided artificial limbs to a large number of patients and in 1996 they donated £15,000/- for the victims of MV Bukoba disaster.
They are presently paying for the education expenses of the children of the victims of American Embassy bombing and have promised to do so untl they complete their high school education. It is the only organization supporting these victims.
English Freemasonry, which has been in existence for nearly 300 years and which over the period had amongst its membership Kings, Princes, Prime Ministers, religious and business leaders, scientists, movie actors, musicians and writers, came to East Africa in 1904 with the first meeting facility based in Zanzibar.
It was introduced in Tanzania in 1904 and over the years the visitors included President Theodore Roosevelt, His Royal Highness, The Duke of Windsor; His Royal Highness, the Duke of York who later became King George VI; His Royal Highness, The Duke of Connaught and Stratheam; the Rt Hon Lord Cornwallis; the Rt Hon Lord Swansea and the Rt Ho, The Earl of Eglington and Winton who were all Freemasons.
Their membership list runs like the world Who’s Who. His Royal Highness, Prince Philip, the Duke of Edinburgh, 14 American Presidents, amongst whom were Presidents George Washington, both the Roosevelts; Truman, Gerald Ford, George Bush, Ronald Reagan and Bill Clinton.
Ten Australian Prime Ministers, 35 US Supreme Court Justices members, Generals Colin Powell and MacArthur. Other Freemansons include world leaders like Cecil Rhodes, Olof Palme, Ted Kennedy, Francois Mitterand, Napoleon Bonaparte, Winston Churchill, Willy Brandt, Robert McNamara, Edger Hoover and Tony Blair.
Others were religious leaders like Swami Vivekananda, former Archbishop of Canterbury Most Reverend Geoffrey Fisher, and Jesse Jackson, business leaders such as Fords, Rothschilds and the Rockefellers and Richard Wagner, Mozart, Shakespeare, Rudyard Kipling and Alexander Fleming. Neil Armstrong, the first man to land on the Moon was a freemason.
The present Head of English Freemasonry is His Royal Highness, The Duke of Kent a cousin of Queen Elizabeth II and about 3,000 Freemasons in Kenya, Uganda, Tanzania and the Seychelles are headed by Sir Jayantilal Chande, a Tanzanian, who has been the leader of Freemasonry in East Africa for the past 18 years. The headquarters of this body established with the approval of the Registrar of Societies is located on Nyerere Road, Nairobi.
All Freemasons, drawn from different faiths are encouraged to believe in God as the Supreme Creator and they are exhorted to be law-abiding and faithful citizens. They should continuously work towards development of their spiritual and moral values and ethical standard.
Freemasonry the oldest fraternal organization, with the possible exception of Boys
Scouts Movement, is the largest in the world. Globally, about half a million Freemasons annually contribute about US$400 million to worthy causes.


freemason ni hatari sana usiigeee?????



mashetani ya dunia ni haya ma freeemaso..achana nao kabisa utapotea utaishia kuwa na kistalet na unakufa wanakukausha wanakufanya nyama na kichwa chako kinakuwa situli ya kukalia wengine. unatuacha watu tunakula bata kwa pesa zetu za jasho (pesa za kukomaa).nyiee mnapenda kulala  kulala sana  huku mnapenda vitamu mle pia ingawa hamtaki kutafuta  pesa zenu.. mtakufa na hawa jamaa hawana dogo ..ni waganga wa kienyeji wanaovaa sutiiii..Mungu awalaani hawa wazungu washirikina watumikia shetani.............

nyie ssm na chadema nyieeeee ;;;;hayaaa

hii ndo yetu tanzaniaaaaaaa....nyie huku mnagangana na kuzozana na kuvaa na kuvaa gambaaa haya banaaaaaaaaaaaaaaaa........(picha kwa hisani ya UMASIKINI TANZANIA BLOG)..hawa ndo waasisi..sisi huku mjini tunafanya upuuzi tu na sifaa za kijinga wakati mamia wanatesaka kijijin...nyiee watu jiribuni hata kutumia akili za shingoni kama za kichwani hazipoooooooo.

nini dhambi kwa mwenye dhiki???

chadema na ccm mnajua mnao wawakilisha au mnapiga tu mbembe mbembe.....kitaa kina njaa sanaa wanasiasa acheni utani utani fanyeni kazi inayoonekana huko maji hakuna umeme bae na mgao unakujaa...hakuna kitu tunakomaa lakin hatufanikiwi.............hii ni vita mazeee tunakufa bila kujijiuaa  inabidi tuamike na tusake chapaa na tuokoe kitaaaaaa...eee Mungu utusaidieeee

kanisa lachomwa moto zanzibar

kanisa likiwa limeteketena na kuisha kabisaa huko zanzibar kanisa la TAG huko pande za zanzibar.

zanzibar yetu picha za vurugu










kweli kilinuka huko zanzibar.....kibaya zaidi ni pale walipochoma makanisa ....hapo sijawaunga mkono kabisa kabisa kanisa na muungano unahusiana nini????

ujumbe wa leo kwa CCM NA CHADEMA

leo nilikuwa mitaa ya kiwalani minazi mrefu nikakutana na huu ujumbe katika ofisi ya mwenyekiti wa mtaa ningependa ni share na wadau wote wa blog yetu na hasa hawa wanachama wa ccm na chadema wajue ujumbe huu kwa makini .....ukiwa unafanya kitu kwa mfumo huu huji kufanikiwa milele..zingatia huuu ujumbee....kuwa makini kila dakika....michuzi michuzi ya leo ndo hiyoooo.......msg send.........ok

vua kanga vua kofia vaa gwanda(chadema &ccm)

kesho majira ya saa nane mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa chadema viwanja ya jangwani ukiwa ni mfululizo wa ile season ya kuvua kanga na kofia na kuvalisha gwanda na kuingia vitani...unaongeshwa pale jangwani kesho unapata ubatizo wa kisiasa............N.B nyie wanasiasawa sasa  kumbukeni huku kitaa hizo sera zenu bado hazijaa matunda ya moja kwa moja bado mateso ni makubwa sana kwetu sisi wananchi wa hali ya chini kweli tunateseka tunahitaji nguvu yenu muiweke kwenye vitu vya msingi sio vaa kanga vaa ngandwa pekee yake..hadi leo sukari bado juu,umeme juu,maji juu nyie mnagangana na vaa gwanda vua kanga ...

mbunge wa rombo apata ajali(Joseph Selasini)

Mbunge wa Rombo apata ajali mbaya iliyosababisha vifo vya watu watatu.Ajali hiyo imetokea kwenye eneo la bomang'ombe..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...