.

Showing posts with label msiba. Show all posts
Showing posts with label msiba. Show all posts

zilizotufikia hivi punde(tTegeta ni Vita)

 Mabomu, risasi zarindima Tegeta ambapo watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha katika vurugu zilizotokea huko Tegeta Kibaoni jijini Dar es Salaam baada ya wananchi kubomolewa nyumba zao.tutakupa taarifa zaidi pindi zitakapopatikana..

Man Beheaded In Igbinedion University Ex-Militants Clash (Viewers' Digression Advised)



The terror let loose in Igninedion University, Okada, Benin City this morning has taken a new turn as a yet-to-be-identified man was headed by some men believed to be ex-militants.

In an early morning chaos in the university today, some former militants stormed the school causing a free for all fight between rival gangs.

This has led to pandemonium in the school. It was reported that some policemen stationed at the school could not take control of the situations which has degenerated to a worse scenario.

jamaa kumbe shoga..

alijiweka kwenye jeneza na kajitangaza kuwa ni shoga,,,na ndipo hapo alipozua kizaa na pastor wa kanisa analosali huu jamaaa soma hapo chini upate sory zimaa.

In a move which has been declared by many as a publicity stunt for the artiste whose popularity has greatly diminished over the years, Charles Oputa, popularly known as Charly Boy, has declared that he is gay.
Those who know Charly Boy well however say he’s not someone who likes being a follower. He’s always a leader in everything he does and he’s now ready to take his rightful leadership position in the gay world.
Pastor Rowland Macaulay beat him Charly Boy to the punch by being the first Nigerian to openly come out and even establish a church that catered for only gay people.
Those who know Charly Boy well however say he’s not someone who likes being a follower. He’s always a leader in everything he does and he’s now ready to take his rightful leadership position in the gay world. In an interview with a new publication, Danfo Express, Charly Boy declared that he is gay and not ashamed of being gay.
Even as he made other disclosures about himself, he didn’t forget to add that he is the head of the Illuminati in Nigeria, the same Illuminati that people accuse Jay-Z, D’Banj and Don Jazzy of being members and they keep denying membership. While his audacious revelations might seem like a publicity stunt on his part, let’s not forget the popular saying ‘there’s no smoke with-out fire’. For Charly Boy to say all these things about himself there must be an element of truth in them.
As a judge on Nigerian Idol, not only did he impose himself on other judges, Yinka Davies and the American, Jeffrey Daniels, he was always going with a skull to the show and once even went with a huge snake that scared the audience.


sokoni kariakoo

freemason walimualika rais mkapa pia walichangia MV BUKOBA

ON SATURDAY 9TH OCTOBER 2004
Freemasons Honoured by President Mkapa
Freemasons to donate tricycles, mattresses, mosquito nets etc.
Last evening Freemasons in Tanzania celebrated in Dar es Salaam 100 years of Freemasonry in East Africa at a gala banquet in a city hotel at which the Guests of Honour is expected to be President Mkapa and the First Lady. On that occasion Freemasons will donate 25 tricycles, mattresses, mosquito nets to orphanages and to a blind school.
Freemasons are helping many welfare causes in different parts of the country. Among them are the Kindwitwi Leprosy Centre in Utete; Mother Theresa Home for the Children, School for the Blind in Pongwe in Tanga Region; Orphanage and Leprosy Projects in Arusha; Montessori School in Mwanza; Mnazi Mmoja Hospital in Zanzibar; Missionaries of Charity and Buguruni School for the Deaf are all beneficiaries of our organization.
Freemasons have built a class room at Kinondoni Primary School, treated over 100 visually impaired patients in Dar es Salaam and Zanzibar and provided artificial limbs to a large number of patients and in 1996 they donated £15,000/- for the victims of MV Bukoba disaster.
They are presently paying for the education expenses of the children of the victims of American Embassy bombing and have promised to do so untl they complete their high school education. It is the only organization supporting these victims.
English Freemasonry, which has been in existence for nearly 300 years and which over the period had amongst its membership Kings, Princes, Prime Ministers, religious and business leaders, scientists, movie actors, musicians and writers, came to East Africa in 1904 with the first meeting facility based in Zanzibar.
It was introduced in Tanzania in 1904 and over the years the visitors included President Theodore Roosevelt, His Royal Highness, The Duke of Windsor; His Royal Highness, the Duke of York who later became King George VI; His Royal Highness, The Duke of Connaught and Stratheam; the Rt Hon Lord Cornwallis; the Rt Hon Lord Swansea and the Rt Ho, The Earl of Eglington and Winton who were all Freemasons.
Their membership list runs like the world Who’s Who. His Royal Highness, Prince Philip, the Duke of Edinburgh, 14 American Presidents, amongst whom were Presidents George Washington, both the Roosevelts; Truman, Gerald Ford, George Bush, Ronald Reagan and Bill Clinton.
Ten Australian Prime Ministers, 35 US Supreme Court Justices members, Generals Colin Powell and MacArthur. Other Freemansons include world leaders like Cecil Rhodes, Olof Palme, Ted Kennedy, Francois Mitterand, Napoleon Bonaparte, Winston Churchill, Willy Brandt, Robert McNamara, Edger Hoover and Tony Blair.
Others were religious leaders like Swami Vivekananda, former Archbishop of Canterbury Most Reverend Geoffrey Fisher, and Jesse Jackson, business leaders such as Fords, Rothschilds and the Rockefellers and Richard Wagner, Mozart, Shakespeare, Rudyard Kipling and Alexander Fleming. Neil Armstrong, the first man to land on the Moon was a freemason.
The present Head of English Freemasonry is His Royal Highness, The Duke of Kent a cousin of Queen Elizabeth II and about 3,000 Freemasons in Kenya, Uganda, Tanzania and the Seychelles are headed by Sir Jayantilal Chande, a Tanzanian, who has been the leader of Freemasonry in East Africa for the past 18 years. The headquarters of this body established with the approval of the Registrar of Societies is located on Nyerere Road, Nairobi.
All Freemasons, drawn from different faiths are encouraged to believe in God as the Supreme Creator and they are exhorted to be law-abiding and faithful citizens. They should continuously work towards development of their spiritual and moral values and ethical standard.
Freemasonry the oldest fraternal organization, with the possible exception of Boys
Scouts Movement, is the largest in the world. Globally, about half a million Freemasons annually contribute about US$400 million to worthy causes.


nini dhambi kwa mwenye dhiki???

chadema na ccm mnajua mnao wawakilisha au mnapiga tu mbembe mbembe.....kitaa kina njaa sanaa wanasiasa acheni utani utani fanyeni kazi inayoonekana huko maji hakuna umeme bae na mgao unakujaa...hakuna kitu tunakomaa lakin hatufanikiwi.............hii ni vita mazeee tunakufa bila kujijiuaa  inabidi tuamike na tusake chapaa na tuokoe kitaaaaaa...eee Mungu utusaidieeee

vua kanga vua kofia vaa gwanda(chadema &ccm)

kesho majira ya saa nane mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa chadema viwanja ya jangwani ukiwa ni mfululizo wa ile season ya kuvua kanga na kofia na kuvalisha gwanda na kuingia vitani...unaongeshwa pale jangwani kesho unapata ubatizo wa kisiasa............N.B nyie wanasiasawa sasa  kumbukeni huku kitaa hizo sera zenu bado hazijaa matunda ya moja kwa moja bado mateso ni makubwa sana kwetu sisi wananchi wa hali ya chini kweli tunateseka tunahitaji nguvu yenu muiweke kwenye vitu vya msingi sio vaa kanga vaa ngandwa pekee yake..hadi leo sukari bado juu,umeme juu,maji juu nyie mnagangana na vaa gwanda vua kanga ...

arubaini ya Steve kanumba


leo imefanyika ibada maalumu ya kumuombea marehemu Steve kanumba. Wananchi rika zote walijitokeza nyumbani kwa marehemu kanumba maeneo ya sinza Vatican ili kuweza kuwafariji mdugu wa marehemu na kuhudhuria shughuli zima ya uombolezaji ,,,Mungu amlaze mahala pema peponi...the great





Msiba wa SIMBA NA YANGA..MSIBA WA TAIFA NZIMA


KIFO CHA MCHEZAJI WA SIMBA PATRICK MAFISANGO  KIMESHITUA MAMIA KWA MAELFU YA WATANZANIA NA WAPENDA SOKA WOTE ULIMWENGUNI..NI SIMAZI KILA KONA YA DAR ES SALAAM ..ENEO ZIMA LA MSIMBAZI NA VIUNGA VYAKE..WATU WAPO KWENYE MAKUNDI MAKUNDI WAKITAFAKARI TAARIFA HII YA KIFO CHA MCHEZAJI WAO TEGEMEZI...........KIJANA KATUTOKA INGALI BADO TUNAMUHITAJI...MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMANI...

web ya kanumba yafungwa.

web ya kanumba yafungwa rasmi.(www.kanumba.com).ukiifungua utakutana na picha yake hiyo na jina lake na 1984-2012 bas hakuna kingine utakacho bahatika kukiona,, ila blog yake bado ipo hewani,.....na kila nikiingalia inanikumbusha mbali sanaaa daaa rest in peace jombaa..

kweli kweli ulikuwa na akiba STEVE

KWELI ULIKUWA NA AKIBA KUBWA YA WATU NYUMA YAKO BRO.ULIKUWA NA VIJANA WAZEE ,WATOTO NA AKINA MAMA...HAWAKUJALI HATARI WALA KUANGUKA JUU YA HUU MTI WALA JUA KALI LILILOKUWA LINAWAKAA WALICHOKUWA WANAAMINI WAO NI UWEPO WA MUNGU KATIKATI YAOO..NA KWELI MUNGU ALIWALINDA KIPINDI HICHI CHOTE CHA KUOMBOLEZA HATIMAE LEO SIKU YA MAZISHI IMETIMIA NA TUMEKUPUMZISHA KWA AMANI KAKA YETUU.STEVE  SISI TULIKUPENDA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI.....R.I.P STEVE KANUMBA.ASANTENI WATANZANIA KWA KUONYESHA MOYO WA KUPENDANA NA KUJALIANA KATIKA KIPINDI CHOTE HIKI KIGUMU..

ratiba ya mazishi


ratiba kamili ya mazishi ya STEVE KANUMBA imeshatoka na marehemu Kanumba atazikuwa hapa hapa dar maeneo ya makaburi  kinondoni ...kuanzia saa mbili asubuhi mwili wa marehemu utasafirishwa kutoka muhimbili kwenda viwanja vya Leaders na ratiba zote zitafutwa kuazia hapo na majira ya saa tisa jioni safari ya kwenda kumpumzisha itaanza kwa msafara kutoka leaders mpaka kweye makaburi ya kinondoni kupita tunisia road..tujitokeze kumuaga BRO wetu Kanumba  na cha kuzingatia ni utulivu na mavazi yenye maadili ,wakati huu mgumu tunategemea sana kila mmoja atakuwa mtulivu na wenye busara zaidi ili kufanikisha shughuli zima ya kumhifadi kaka yetu kwenye makazi ya milele..MUNGU NDIYE MPANGAJI WA YOTE,SISI TULIMPENDA ,YEYE ALIMPENDA ZAIDI ,JINA LAKE LIBARIKIWE.kwa mchaganuo zaidi  wa ratiba ya mazishi peruzi global publishers 

nigeria waomboleza kifo cha Kanumba

wanaigeria waomboleza kifo cha kanumba ni simazi nigeria zimaaaa na nchi jirani za ghana ,,,tazama nigeriafilms.com kwa habari zaidiiiiiii...asante na pasaka njemaa.

moja ya movi kali ya THE GREAT KANUMBA

MOJA YA KITU CHAKE KIKALI KILICHOPATA SIFA KUBWA HAPA BONGO NA NJE YA BONGO...WATOTO WENGI WANAIPENDA SANA HII MOVIII..  R.I.P BRO................

mama wa marehemu kanumba


tazama 8020fashions kwa taarifa zaidi ...mama akiwa safarini kurudi dar..kwenye mazishi...ya mwanae.

ratiba ya mazishi ya THE GREAT

TAZAMA 8020fashions.blogspot.com upate ratiba ingawa kwa ufupi tu mwili wa marehemu kaka yetu utaagwa siku ya jumanne na mazishi yatafanyika sehemu ambayo mama mzazi wa kanumba ataamuaaa...Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi..
sokoni kariakoo

kutoka vatican sinza


mambo mapya yaliyojiri na yanayoendelea kujiri sinza vatcan tazama prettysintah.blogspot.com.hapa ni ruge na muheshimiwaa

wengi walizimia jack wolper akiwemoooooooo...R.I.P Steve

hili si jambo rahisi kulikubali kibinadamu......kwa picha zaidi angalia 8020fashions.blogspot.com.

LULU na the greattttttttttttt

tazama  prettysintah.blogspot.com upata newx za kuhusu msiba wa kanumba na nini kilichosababisha..ila all in all mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu....mbele yake nyuma yetuuuuuuuuuuuuuuu...

kanumbathegreat.blogspot.com

mungu akulaze mahala pema peponi ma bro...katika watu niliochagua kuweka blog zao kwenye blog yangu ilikuwa ni wewe kwa kuwa nilikuwa najua jamii inapenda kujua unafanya nini mara kwa mara...ulikuwa ni kioo kwa wengine na K100 1NC imetokana na wewe ...nilikuona mara ya mwisho uso kwa uso kweny maafali ya frm six jitegemee toka hapa bro ulikuwa umetoka choo kubadilisha nguo ili uende kucheza mziki ...long timme sana bro da sita kuona tena ...ukitembea juu ya ardhi...lakini tutaonana kwa Ala one dayyyyyyyyyyyyyyyy....R.I.P MA BROOOOOOOOOOOOOOOOO.....
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...