.

Showing posts with label burudani. Show all posts
Showing posts with label burudani. Show all posts

snoop dog dog akamatwa na dawa za kulevya norway

rapper snoop amekamatwa na gram 8 za madawa ya kulevya(marijuana)  kwenye uwanja wa ndege wa Kjevic Airport in Kristiansand  huko norway.pia alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa kuliko kile kinachoruhuhusiwa kusafiri nacho kwenye ndege..hii ni mara ya pili kwa rapa huyu kukamatwa na madawa ya kulevya ndani ya muda wa mwaka mmoja.

BREAK NEWS:madaktari wamshambulia mtu muhimbili

mtu ambaye hajafahamika vizuri kuwa ni afisa usalama ua la aliyekuwa akiranda randa maeneo ya muhimbili amejikuta akipata kipigo kutoka kwa madaktari na kuchaniwa nguo...mtu huyo ambae kwa sasa yupo kituo cha polisi pale hospitali muhimbili akihojiwa na maafisa wa usalama ....(taarifa hii imetolewa muda si mrefu ndani ya super mix ya EA radio).kaa nasi tutakupa taarifa zaidi juu ya sakata hili jipyaaaa....

world of fashion


sokoni kariakoo

utata wa vunja bei





sokoni kariakoo

half fashion







kweli kwenye punguzo hata mtu aambiwe aje uchi hukubali si bongo tu wapenda vya bure hata ulaya picha hizi ziko kibao nyingine kwenye blog zetu za masokoni.blogspot.com na totolabongo.blogspot.com ...cheki zote uone hii vituo vya ufaranca..

future fashion

sokoni kariakoo

kim na kanye


kanye na kim

wapenz wapya wenye makeke ya kutosha hasa bi dada kim ni balaaa kwa vituko kama ingekuwa wanakaa huku bongo basi lazima kim angekuwa na pambana na wema hivi au uwoya ...maana mcharuko wake ni hatar tupu pande za obama

zanzibar yetu picha za vurugu










kweli kilinuka huko zanzibar.....kibaya zaidi ni pale walipochoma makanisa ....hapo sijawaunga mkono kabisa kabisa kanisa na muungano unahusiana nini????

cover ya mixtape ya 50cent

hii ndo cover ya mtu mzima 50cent kitu cha mixtape naitafuta niisikilizeeee

MIXTAPE 50 CENT inatoka kesho itaitwa the lost tape



kesho mtu mzima 50 cent ataachia mixtape yake ya lost tape kwenye mtandao hivyo kwa wale wote wapenzi wa 50 cent jiandaeni kudaka mixtape yenu fastaaaaaaa.........ifikapo keshooooooooooooo

50 cent collaboration na wiz khalifa


baada ya kupona mtu mzima 50 amepata tweet kutoka kwa kijana wiz ikimuomba ashiriki kwenye corraboration ya ngoma ya wiz mpya so mtu mzima kaona sio baya kivilee na kakubali kuingia studio na wiz,,,50 kaahidi kitu kitakuwa nomaaaaa sanaaaa tusubiriiiii tuoneeee itakuwajee..

drogba aigaa chelsea ...barca wala patupu..

drogba aigaaa chelsea na kasema naha mpango kabisa wa kwenda huko barca  kama tetesi zinavyosemaa..ila wataalamu wa mambo wanasema inawezeka mkubwa drogba akakimbia uharabuni akamfuata kijana mwenzeka anelka............maisha marefu broooooooooooooo

chelsea na kombe lao



sokoni kariakoo

chelsea walamba ndoooo


proud africaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

drobga aipa ushindi chelsea UEFAAA (ANgalia matokeo yote hapa)

                                               robben  jamaa akikosa penati hapooooooooo
haya sasa baada ya peter cech kuokoaaa penati ya robben kila kitu kimebaki historia sasa......sasa nani atashinda kwenye penarti za leooooooooooooo makipa wote ni noma tu
                                matokeo ya pernati
lakwanza hilo la keteniiiiiiiiiiii penartii munich
mataaaa anakosa penartiiiiiiiiiii
gomez sasa kafungaaaaaaaaaaaa...........
luiz anapata penartiiiiiiiiiiiii ............
golkipa munich loya anapataaa goli.....
lampard anapata penartiiiii
olich anakosa penarti.......
ashely cole  anapata penarti.......
taigaa anakosa penarti...
Drobaaa ashindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


HIP HOP inakufa U.S asema T.I


kama vile bongo asemavyo j mo kuwa mziki unakufa na unauliwa na wazembe wachache wanaosisitiza viduku na swaga nyingine zisizo na umsingi wowote kwa masilahi ya taifaa yale yale ya Nai nai kushinda tuzo zidi ya msanii darasa aliyeimba dude la SIKATI TAMAA.........huko U.S mtu mzima T.I kafunga na kwachana wasanii wanaoimbana kurap utumbo nikimnukuuu mtu mzima T.I alisemaa "zamani tulikuwa tunachana verse zinazotuhusu na maisha tunayoyaish na pia msitari hiyo ilikuwa inawahusu pia wale wanaoisikiliza...ila siku hizi watu wanachana na kusifia vitu wasivyoviishi wala kuviona na pia hata wale wanaousikiliza hawatii maanani kwa kile kinacho imbwa kwa kuwa ni upuuzi mtu...."tafakari na chukua hatuaaaa huyo ndo HIp HOP king T.I //........alikuwa anahojiwa na 105.1 fm ya kwa obamaaa....
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...