.

Showing posts with label urembo. Show all posts
Showing posts with label urembo. Show all posts

+255 fashion network

visit our blog:::::totolabongo.blogspot.com for fashion update.....



world of fashion


sokoni kariakoo

half fashion







kweli kwenye punguzo hata mtu aambiwe aje uchi hukubali si bongo tu wapenda vya bure hata ulaya picha hizi ziko kibao nyingine kwenye blog zetu za masokoni.blogspot.com na totolabongo.blogspot.com ...cheki zote uone hii vituo vya ufaranca..

kim na kanye


kanye na kim

wapenz wapya wenye makeke ya kutosha hasa bi dada kim ni balaaa kwa vituko kama ingekuwa wanakaa huku bongo basi lazima kim angekuwa na pambana na wema hivi au uwoya ...maana mcharuko wake ni hatar tupu pande za obama

queen...............anita joseph ............

anita joseph
muigizaji wa kike toka nigeria jana alikubwa na maswaibu ya vibaka majira ya usiku  alipokuwa anarudi nyumbani kujipumzisha akiwa yeye na ndugu zake wawili...mitaa ogba,lagos ...nigeria ..(tazama mtoto huyo)

uwwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiii

                                                           uundaji vs uumbaji
uumbaji vs uundaji
tukumbuke zana (condom) kila wakati ..............wapendwa janga bado lipo..................................ila Mungu kwa kuumba nimemkubali...wewe jeeeee
sokoni kariakoo

jack anamuiga huyu hapaaa

da anayrigwa bila yeye kujijuaa wanadada kutoka us..mpenzi wa zamani wa kanye west na sasa anatembea na mchiz aliyeimba black and yelloww..............................

na huyu nini dada yetu  muigizaji wa bongo movie na mtoto wa nyanda za juu kaskazini dadaa jack..

sokoni kariakoo

mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh


hapo moja moja totoooo akila mitaaaa ya new york city...alone..
kanye west alichezeaaa kibuti haapaaaa  kwa mamaaa upara ngotoo..
sokoni kariakoo

kiatu ni urembo tosha.

ukitinga kitu cha namna hii lazima na suruali kali na kitu cha shati lazima watakukubali tuuuuu....hiyo ngoma ni dola 160 kitu gucci ....so kama unataka kitu cha ukweli lazima ujipangeeeeeeeeee
sokoni kariakoo

wakiwezeshwa wanaweza

sasa wewe unajifanya unaonea wanawake subiri ukutane na hiki kifaa hapaa...huu sio mchina wala nini na wala hana mpango wa kuweka hips za kichina wala matiti ila yuko bombaaaaaa...haki sawa kwa wote.wakiwezeshwa wanaweza.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...