.

Showing posts with label pongezi. Show all posts
Showing posts with label pongezi. Show all posts

SHUKRANI KUTOKA SK-NETWORK

SK-NETWORK ni mtandao bora na wa kisasa unaomilikiwa na vipeperushi company .kampuni inayohusika na utoaji na usambazaji wa vijarida vya matangazo nchini Tanzania inawatangazia umma wa watanzania kuwa wako katika hatua za mwisho za kubora huduma zao za matangazo ya hewani na nchi kavu(usambazaji wa vijarida)kuwa ya kisasa na kuwafikia watanzania milioni 1 ndani na nje ya nchi yetu.Hivyo basi tunafuraha kubwa kuwataarifu watazamaji wa blog zetu  kuwa tunaendelea kukuwa na kwa sasa tunatazamwa na watu wengi kutoka ndani na nje ya mpaka yetu.Tunakushukuru wewe mtazamaji wetu kwa kuchukuwa muda wako kuwaambia  jamaa,ndugu,marafiki nawapendwa wako kuhusu mtandao wetu  na jinsi ya kuupata ili nao waweze kupata habari na kuhabarika kwa haraka.Ili adhima yetu iweze kutimia ya kuwafikiwa watanzania milioni 1kwa siku. Tunakuomba uendelee kuwataafifu na jamaa wengine ambao kwa namna moja au nyingine hawajafikiwa na taarifa kuhusu SK-NEWORK.
Kumbuka kwa sasa SK-NETWORK inatoa ofa ya kutangaza bure kwenye blog yake ya masokoni.blogspot.com.changamkia fursa hii sasa kabla ofa haijaisha.

Mnyika Mnyika hakamatiki hashikiki



huu ni therusi tu ya msafara mzima wa Mnyika
nilikuwa napita mitaa ya ubungo terminal  karibu na ubungo plaza nikakutana na msafara mdogo wa awali wa mbunge john mnyika wa chadema wakisheherekea ushindi .....ilikuwa ni kundi kubwa la watu sema kamera yangu tu haikuweza kuchukua mamia ya watu woteee...magari yalisimamishwa msafara upite ilikuwa ni shamrashamra kila kona ya ubungo stendi,maeneo ya tanesco mpaka kimaraa yenyeweee...

MIXTAPE 50 CENT inatoka kesho itaitwa the lost tape



kesho mtu mzima 50 cent ataachia mixtape yake ya lost tape kwenye mtandao hivyo kwa wale wote wapenzi wa 50 cent jiandaeni kudaka mixtape yenu fastaaaaaaa.........ifikapo keshooooooooooooo

DHAHABU YA DUNIA NI MAMA..By 2 pac

alikuwa akitete kila kukicha usawa na haki wasanii wa bongo mpo hapo sio mnatujaza upuzi tu kichana na nyimbo zisizo na maana....mkumbukeni tupac na bob marley waasisi mungu awalaze mahala pema peponiiiiiiii.

pata ujumbe maisha yyangu na yako yametokana na mama...much love to my mum ...and all women out there......

ijumaa kuu njemaa

papa akiwa cuba ndani ya ijumaa kuu.............nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya pasaka wakristu wote  duniani..tusherekee sikukuu hii kwa amani na utulivu..

Tido Mhando

Tido Mhando
Tido Mhando amekuwa mkurugenzi mtendaji mpya wa kampuni ya magazeti ya Mwananchi inayo chapisha magezeti ya kila siku hapa nchi...naamini wengi tunamkumbuka Tido Mhando ndiye mkurugenzi wa Zamani wa TBC1..aliyeruhusu kipindi cha mchakato majimbo...mwaka 2010..kilicholeta changamoto kubwa sana kwa vyama vingi hapa nchi...sokoni kariakoo tunakutakia maisha mema ,hongera na kazi njemaaaaa..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...