chadema na ccm mnajua mnao wawakilisha au mnapiga tu mbembe mbembe.....kitaa kina njaa sanaa wanasiasa acheni utani utani fanyeni kazi inayoonekana huko maji hakuna umeme bae na mgao unakujaa...hakuna kitu tunakomaa lakin hatufanikiwi.............hii ni vita mazeee tunakufa bila kujijiuaa inabidi tuamike na tusake chapaa na tuokoe kitaaaaaa...eee Mungu utusaidieeee