.

Showing posts with label sanaa. Show all posts
Showing posts with label sanaa. Show all posts

+255 fashion network

visit our blog:::::totolabongo.blogspot.com for fashion update.....



break newz:::msanii ndani ya jeneza


umaarufu kuupata inahitaji ubunifu na kujitoaa muone sasa huyu jamaa toka nigeria alipoamua kuvunja rekodi kwa kuweka pozi kali ndani ya jeneza....stori yote hapo chini....
Controversial - , who is a grown man but still retaining the name that carries BOY, was said to have taken this particular picture showing him in a cofin all by himself. If another celebrity had taken such a picture and posted it, Nigerians would have made so much noise about such an abnormal occurrence, but since it is the man known for ‘out of space’ actions, most Nigerians just laughed over it and said ‘IT’S ’. What kind of man does that?

vita vya drake na cris brown




drake akana kushiriki vurugo hizo
Following news that Drake and Chris Brown clashed last night at W.i.P. in New York City, New York, the Young Money rapper has denied responsibility for the cut on the singer's face.
In a statement released to TMZ, Drake's rep said that he had nothing to do with the brawl. Drake did not participate in any wrongdoing of any kind last night at W.i.P. He was on his way out of the club when the altercation began," said the rep. "[Drake] did not engage in any activity which resulted in injury to person or damage to property.”
Reportedly, Meek Mill was shouting at Brown, which incited the fight. The subject of the argument was reportedly not about Rihanna.
 tutaendelea kukupa taarifa kuhusu hili sakata lililopelekea cris kuchanika kidevu ...

half fashion







kweli kwenye punguzo hata mtu aambiwe aje uchi hukubali si bongo tu wapenda vya bure hata ulaya picha hizi ziko kibao nyingine kwenye blog zetu za masokoni.blogspot.com na totolabongo.blogspot.com ...cheki zote uone hii vituo vya ufaranca..

future fashion

sokoni kariakoo

kim na kanye


kanye na kim

wapenz wapya wenye makeke ya kutosha hasa bi dada kim ni balaaa kwa vituko kama ingekuwa wanakaa huku bongo basi lazima kim angekuwa na pambana na wema hivi au uwoya ...maana mcharuko wake ni hatar tupu pande za obama

50 cent collaboration na wiz khalifa


baada ya kupona mtu mzima 50 amepata tweet kutoka kwa kijana wiz ikimuomba ashiriki kwenye corraboration ya ngoma ya wiz mpya so mtu mzima kaona sio baya kivilee na kakubali kuingia studio na wiz,,,50 kaahidi kitu kitakuwa nomaaaaa sanaaaa tusubiriiiii tuoneeee itakuwajee..

HIP HOP inakufa U.S asema T.I


kama vile bongo asemavyo j mo kuwa mziki unakufa na unauliwa na wazembe wachache wanaosisitiza viduku na swaga nyingine zisizo na umsingi wowote kwa masilahi ya taifaa yale yale ya Nai nai kushinda tuzo zidi ya msanii darasa aliyeimba dude la SIKATI TAMAA.........huko U.S mtu mzima T.I kafunga na kwachana wasanii wanaoimbana kurap utumbo nikimnukuuu mtu mzima T.I alisemaa "zamani tulikuwa tunachana verse zinazotuhusu na maisha tunayoyaish na pia msitari hiyo ilikuwa inawahusu pia wale wanaoisikiliza...ila siku hizi watu wanachana na kusifia vitu wasivyoviishi wala kuviona na pia hata wale wanaousikiliza hawatii maanani kwa kile kinacho imbwa kwa kuwa ni upuuzi mtu...."tafakari na chukua hatuaaaa huyo ndo HIp HOP king T.I //........alikuwa anahojiwa na 105.1 fm ya kwa obamaaa....

prezzo ndani ya big brother this season



kijana wa kazi prezzo ndani ya bigbrother house....waze wa kukosha ni wakati wenu sasa....kijana anataka hizo dola 300 000 za wasauz ataweza kweli mziki wa kutomasana na au ndo itakuwa anataka au tu sura kwa siku kazaa atambaee zakeee...jaguar lazima atasema neno ...kuhusu hili...na bifu hapa lazima litaanza upyaaa......kazi kwenu wiki hii big brother hiyoooooooooo........

mtoto wa marehemu Kanumba

soma global publisher kwa habari zaidi huyu ni mwanamke aliyejitokeza na kudai kuwa alishazaa na marahemu kanumba mtoto mmoja na mtoto mwenyewe ndo huyo hapoo.........
sokoni kariakoo

film za kutishaa zajaa

wanaigeria waendelea kutafuta masoko ya filamu zao kwa nguvu huku wakizidi kuumiza kichwaa kwa kuja kivingine kila kukicha sasa hapa ni moja tu ya mchezaji movi akijaribu kuja kivingineee..R.I.P BRO STEVE KANUMBA.
sokoni kariakoo

nani kasema kunguru hafugiki....

nilikuwa pande za temeke leo nikicheki huu mtego wa kunguru pande hizo no bonge la ubunifu wa hali ya juuu,,,big up kweli hakuna nyama au ndege asiyekamatika ni kujipanga tuuuuu...

sintah ndani ya times fm

bibiee sinta sasa atakuwa anasikika ndani ya times fm kwenye kipindi cha mchana kinachoitwa hatua tatu...yeye mariam na steve nyerere....so ukiweka 100.5 times fm utakutana na bibie wa sitake demu...na mzee wa kuiga sauti steve nyerere..

like father like son...

utakuwa mtaalamu kama mimi mwanangu kama tu utazidisha mazoezi na kujituma kazini.....like father like son...wangapi washawahi iona hii moviee
sokoni kariakoo

vinega ndani ya kisutu....21/3/2012


TAARIFA KWA UMMA: LEO MAJIRA YA SAA 7 VINEGA WENGI WALIKUWA PALE MAHAKAMA YA KISUTU ILI KUWEZA KUJUA NI MADAI GANI YALIYOWAFANYA WAITWE MAHAKAMANI……MADAI AMBAYO KWA MUJIBU WA KARANI WA MAHAKAMA AMBAYE KESI HIYO ILIKUWA IMEFUNGULIWA JALADA NAMBA 294 KESI YA MADAI YA MWAKA 2011…HAKIMU ANAITWA MOSHI NA KARANI WAKE ANAITWA GRACE ALIWAAMBIA VINEGA KUWA KESI ILIKUWA JANA JAMBO AMBALO SIO KWELI NA PILI KESI ILIFUTWA JANA…..TUNAYO MASWALI MENGI SANA TUNAYOJIULIZA JUU YA MADAI HAYA AMBAYO MPAKA SASA VINEGA HAWAJAYAJUA……..ISSUE IPO CHINI YA KITENGO CHA SHERIA NA MUDA SI MREFU TUTAUAMBIA UMMA WA WATANZANIA NINI KINAFUATA JUU YA MSALA HUU WALIOJITAKIA WAFU FM…..!!!!
TUNAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WADAU NA VINEGA WOTE WALIOKUJA KUTOA SAPOTI KWA MAGENGE YA MWENGE NA ANTIVIRUS KWA UJUMLA. TUNAJUA WENGINE WALISHINDWA KUJA KWAKUBANWA NA MAJUKUMU ILA HAKIJA ARIBIKA KITU KWANI BADO TUKO PAMOJA.

sokoni kariakoo

lulu lulu huyu hapa....

baba akipika movie mpya na toto lulu....hiki ni kitu kipya toka kwa ray sasa hapo ni wewe tu mdau wa movie za kibongo kuchekii hii kitu....tania lulu wewe....ray jeee lazima utagandaaa tu....bongo moviee haooo

mavazi ya robo uchi yalitawalaa

 unachezea hilo li mpasuo hapo kati...sisi ni kioo cha jamii utatuambia nini???watoto watamu wa bongo moviee wakipati...
kajisahau kidogo akonyesha mpaka nepi hii ni noma lakini ni katika mambo ya kusheherehesha hayooo vijana hao wa bongo moviii watoto wa mjini wazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,wewe tuuu hapo ni johari na uwoya..
sokoni kariakoo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...