rapper snoop amekamatwa na gram 8 za madawa ya kulevya(marijuana) kwenye uwanja wa ndege wa Kjevic Airport in Kristiansand huko norway.pia alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa kuliko kile kinachoruhuhusiwa kusafiri nacho kwenye ndege..hii ni mara ya pili kwa rapa huyu kukamatwa na madawa ya kulevya ndani ya muda wa mwaka mmoja.