jamaaa anakaribishwa home hivyo na mtotooo..chezeaaa ustar raha mida mingineee
SK NETWORK ,HOME OF FASHION,NYUMBA KUBWA YA FASHION EAST AFRIKA.,SEX,SWEET,HOT,FREESTYLE,ALL COLOUR,95%,VIWALO,WAREMBO,SUPERSTAR,WAZURI TU.
Showing posts with label soka. Show all posts
Showing posts with label soka. Show all posts
drogba aigaa chelsea ...barca wala patupu..
drogba aigaaa chelsea na kasema naha mpango kabisa wa kwenda huko barca kama tetesi zinavyosemaa..ila wataalamu wa mambo wanasema inawezeka mkubwa drogba akakimbia uharabuni akamfuata kijana mwenzeka anelka............maisha marefu broooooooooooooo
akitaka kupaaa kwa furaha drogbaa banaaa utata mtupuu
akiipaisha afrika kwa furaha mwenye taaluma ya muhasibu wetu drobga akifanya mahesabu ya miguu na yakaleta mafanikioooooooooooo kila akikaribia goli...............afrika wazizima kwa furahaaa
drobga aipa ushindi chelsea UEFAAA (ANgalia matokeo yote hapa)
robben jamaa akikosa penati hapooooooooo
haya sasa baada ya peter cech kuokoaaa penati ya robben kila kitu kimebaki historia sasa......sasa nani atashinda kwenye penarti za leooooooooooooo makipa wote ni noma tumatokeo ya pernati
lakwanza hilo la keteniiiiiiiiiiii penartii munich
mataaaa anakosa penartiiiiiiiiiii
gomez sasa kafungaaaaaaaaaaaa...........
luiz anapata penartiiiiiiiiiiiii ............
golkipa munich loya anapataaa goli.....
lampard anapata penartiiiii
olich anakosa penarti.......
ashely cole anapata penarti.......
taigaa anakosa penarti...
Drobaaa ashindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Msiba wa SIMBA NA YANGA..MSIBA WA TAIFA NZIMA
KIFO CHA MCHEZAJI WA SIMBA PATRICK MAFISANGO KIMESHITUA MAMIA KWA MAELFU YA WATANZANIA NA WAPENDA SOKA WOTE ULIMWENGUNI..NI SIMAZI KILA KONA YA DAR ES SALAAM ..ENEO ZIMA LA MSIMBAZI NA VIUNGA VYAKE..WATU WAPO KWENYE MAKUNDI MAKUNDI WAKITAFAKARI TAARIFA HII YA KIFO CHA MCHEZAJI WAO TEGEMEZI...........KIJANA KATUTOKA INGALI BADO TUNAMUHITAJI...MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMANI...
simba mabingwaaaaaaaaaaaaaa wa ligi ya vodacom
baada ya azam kupigwa 2-1 na mtibwa fc wameiwezesha simba kuchukua ubingwa kiulainiiiiiii...maana hata wafanyeji azam hawawezi kuwafikia point simba fc wekundu wazee wa kugusaaaaaa........wamenifurahisha sana hawa jamaaa simba sasa kivumbi ni jumapili........uwiiiiiiiiiiiiiiii maadui wetu yanga hakika hawatoponaa..na wakipona du basi labda waje na mbinu za new castle...
vita vikuu vya pili (manu na mancity)
manu inapewa nafasi kubwa ya kushinda mechi ya leo na mtandao mingi ya kamali inaonyesha inetupa karata yao kwa manu. timu bora isiyotetereka,,,,,shida ndogo ipo kwenye mabek fernand mmm haaminiki sana na leo babu ni lazima apaange mabeki wa ukweli amasivyo analia mapemaaa...kitu cha tevez kimeahidiwa donge kama ataifunga manu na kusababisha mancity ichukue ubingwaaa..waarabu wanakichaa na hili kombe wako radhi kutoa ela hata kwa refa kama atakubalii...leo ni leo ila manu wakifungwwa watajutia uzembe walioufanya kipindi wanacheza na eveton wiki iliyopitaaaaa
watoto wa mjini wanasema wapigwe ????????wwengine husema wamejaribu lakini hawatoweza...tutashindaa....uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....................leo ni leo......lekanaeeeee
ronaldoooooooooooo vs messi mshind ni ronaldo
kipenzi cha wengi ronaldo leo kafanya kweli kawatupa kule wale wapinzani wake wa kila siku akina messi na timu yao ya barca..kweli ronaldo ni bora hata bila kupambwa na media messi..mmmm ajipange sawa sawa na kocha wa barca anampango wa kumpa maujanja haya kocha wa chelsea ili jumanne iwe rahisi kwao kuwapiga hawa wazee wa QATAR FOUNDATION barcaaa...pole barca ...chenye mwazo hakikosi mwishoo...washawasoma tayari wapinzani...
sokoni kariakoo
zaidi ya upenzi ...............
ni zaid ya ushabiki kwake ni maisha,,,,,,kuwa mshabiki inahitaji moyo na gharama na huwezi ukawa mshabiki wa dhati wakati hata kwenye mechi huendi mvivu kutafuta ela ya kwenda kuangalia mechi na kuendesha maisha yako huku unasema wewe ni mshabiki..mshabiki gani huna hata jezz ....tujaribu kubadilika watanzania tugharamike kwenye mpira wa mguu na mchezo mengine ndipo tutakapoona faida ya ushabiki wetu wa kuwekeza kwa vitendo sio maneno..
sokoni kariakoo
Manu leo na ubingwa mara 20
washabiki wa manu wakiingia ndaani ya uwanja wa old Trafford sasa kuishangilia timu yap ambayo dalili chache zijazo itakuwa ikimenyana na fulham ...huku joto la ubingwa wa ligi likizidi kuwa kubwaa upande wa mau na mancity watoto wa jiji mojaa.....leo itajulikana bivu na mbichi..ushindi wa leo ni muhimu sana kwa hao mashetani wekundu .....watoto wa babu mabigijiiiiiiii....
Subscribe to:
Posts (Atom)

















