.

zaidi ya upenzi ...............



ni zaid ya ushabiki kwake ni maisha,,,,,,kuwa mshabiki inahitaji moyo na gharama na huwezi ukawa mshabiki wa dhati wakati hata kwenye mechi huendi mvivu kutafuta ela ya kwenda kuangalia mechi na kuendesha maisha yako huku unasema wewe ni mshabiki..mshabiki gani huna hata jezz ....tujaribu kubadilika watanzania tugharamike kwenye mpira wa mguu na mchezo mengine ndipo tutakapoona faida ya ushabiki wetu wa kuwekeza kwa vitendo sio maneno..
sokoni kariakoo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...