.

ratiba ya mazishi


ratiba kamili ya mazishi ya STEVE KANUMBA imeshatoka na marehemu Kanumba atazikuwa hapa hapa dar maeneo ya makaburi  kinondoni ...kuanzia saa mbili asubuhi mwili wa marehemu utasafirishwa kutoka muhimbili kwenda viwanja vya Leaders na ratiba zote zitafutwa kuazia hapo na majira ya saa tisa jioni safari ya kwenda kumpumzisha itaanza kwa msafara kutoka leaders mpaka kweye makaburi ya kinondoni kupita tunisia road..tujitokeze kumuaga BRO wetu Kanumba  na cha kuzingatia ni utulivu na mavazi yenye maadili ,wakati huu mgumu tunategemea sana kila mmoja atakuwa mtulivu na wenye busara zaidi ili kufanikisha shughuli zima ya kumhifadi kaka yetu kwenye makazi ya milele..MUNGU NDIYE MPANGAJI WA YOTE,SISI TULIMPENDA ,YEYE ALIMPENDA ZAIDI ,JINA LAKE LIBARIKIWE.kwa mchaganuo zaidi  wa ratiba ya mazishi peruzi global publishers 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...