.

web ya kanumba yafungwa.

web ya kanumba yafungwa rasmi.(www.kanumba.com).ukiifungua utakutana na picha yake hiyo na jina lake na 1984-2012 bas hakuna kingine utakacho bahatika kukiona,, ila blog yake bado ipo hewani,.....na kila nikiingalia inanikumbusha mbali sanaaa daaa rest in peace jombaa..

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...