hiki kitu kimajengwa huko dubai..barabara ya mbiguni hiyooo....
m naona kama inawezeka vile Tanzania tukaja kuwa na vitu kama hivi ingawa itachukua sana muda kwa kuwa kwa sasa wengi wetu ni wanafiki na tunapenda kuwa kama vinyonga vile kwenye ukweli unaweka na uongo ili upate pesa mbuzi ya mchelee...tukibadilika na kuwa watu makini si waongo na wanafiki basi maendeleo kama haya hayata kuwa ndoto kwetu kabisaaa.