.

dar yafunikwa na maji




 ilikuwa sasa 9;30 tunatoka mbagala huku tukishuhudia mengi njia hasa nyumba zilizo karibu na mabonde kufunikuwa na maji chemba kutapika maji kama chemchem vile..na miundombinu ya barabara kuharibika vibayaa...hii ndo picha fupi ya yanayoendelea hapa dar kwa sasa ni hatari sana na mvua bado inayesha...
asante Mungu nimefika salama nyumbani..ila wanafunzi wanapata shida sana huko barabarani wameloana na hawana msaada sisi kama sisi tuliamua kumsaidia mmoja ya wanafunzi wadogo wa darasa la tatu alikuwa akisubiri daladala kwa muda mrefu bila mafanikioo..mungu awalinde wote mnaoteseka na usafiri wa barabarani kwa sasa.......maana kweli Tanzania inahitaji miaka 50000000 kuwa kama united state..
sokoni kariakoo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...