.

safari ya kigamboni

baada ya kuwepo kwa tishio la sumani kijana leo nimeamua kwenda zangu kigamboni kucheki je wananchi wanahofu tena juu ya tishio hilo la sumani nilichogundua ni kwamba hakuna wenye shaka la sumani tena kila mtu anaendelea nashughuli zake za kujitafutia riziki bila tatizo lolote...watu ni wengi wakiingia na kutoka..mungu ibariki Tanzania.Tuepushe na majanga yote..




kigamboni ya leo imechangamka na kila mtu yuko bizeee.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...