.

blog ya kanumba na mimi

Napenda kuomba radhi kwa wapenzi wote wa blog yangu na wengine wanaoumia pindi wanapokuta blogspot ya kanumba kwenye page yangu..ni uchumgu mkubwa umetupata wote hata mimi pia ..ila kipindi naazisha hii blog nilikuwa naimani sana na Kaka yangu kipenzi  Kanumba kwa kile anachokifanya pia niliamini kuwa kila  atakaye angalia blog yangu atapenda aangalie pia blogspot ya Kanumba kwa urahis kabisa...na kwa kuwaMarahemu kanumba alikuwa mtu muhimu sana kwangu nitaiicha blog hii kwenye sura ya blog yangu mpaka arobaini yake itakapopita....Asanteni sana na Mungu awabariki nyote na ampumzishe kwa amani kaka yetu Kanumba.
R.I.P BRO STEVE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...