picha hii ni hisani ya wadau wa facebook
WANAJAMII WANAAMINI KUWA JENEZA LA CHAMA TAWALA LI NJIANI JE NI KWELI...?JE SIASA HIZI ZA KUHAMA VYAMA ZINA TIJA YOYOTE KWETU WANANCHI..?
MBUNGE WA MBOZI KWA TIKETI YA CCM AMEITABIRIA KIFO KISICHO NA WAOMBOLEZAJI CHAMA CHAKE CHA CCM KWA KUWA WANAWAACHA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WAKILA HELA ZA UMMA NA MAKATIBU WA WIZARA WAKATI WANANCHI WAKILIA SHIDA HUKU MITAANI,,AKIKANA WAZI WAZI CHAMA CHAKE NA KUSEMA HATO SHANGAA PINDI WATAKAPO SHINDWA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015..NA HATA WAKISHINDA MWAKA 2015 BASI 2020 HAWATONYOFOKA NI LAZIMA CCM ITABAKI HISTORIA KWA MADUDU WANAYOFANYA SASA....WAKURUGENZI WETU NA SEREKALI KWA UJUMLA .(KUTOKA DODOMA BUNGENI)
sokoni kariakoo