SK NETWORK ,HOME OF FASHION,NYUMBA KUBWA YA FASHION EAST AFRIKA.,SEX,SWEET,HOT,FREESTYLE,ALL COLOUR,95%,VIWALO,WAREMBO,SUPERSTAR,WAZURI TU.
waandaji wa tuzo wemechemika
kwa roho mkunjufu kabisa mimi ni mpezi sana wa tuzo za kili kwa kuwa tuzo hizii huamisha hari na moyo wa wasanii kujituma ila tuzo za leo hakuna kitu wamechemsha sana kila kitu kwanza uchaguzi wa ukumbi ...ukumbi unagiza watu hawaonekani...kamera za kuonyesha live nazo ni shida tupu...hakuna kulinda muda..waliochaguliwa kugawa tuzo hawajavutia kabisa na wengi hawajajiandaa..kameraman hatujui muda wengine anaonyesha giza tuuuuu...ma mic hawako makini yawezekana kutokana na uchanga wao na mavazi ya mc wa kike hayajampendeza kabisaa....haya ni machache tu...ila tunahitaji wawandaaji watuzo makini si hawa m naona wamezeeka kimawazo na mtizao...tuzo zinahitaji ubunifu na mtaji mkubwa...ila hongereni mliochukua tuzooo..Tanzania kwanza...