picha hii kwa hisani ya Jacob kamil Urio
pambana mpaka pumzi yako ya mwisho usije ukafa moyo na kukata tamaa...maana ukuta wa mafanikio na kukata tamaa umekaribiana sana..pindi unapojihisi kutaka kukata tamaa tu.. ndipo hapo mbele yako pana mlango wa mafanikio makumbwa usiyo tarajiaaa...koma pambana na maisha kila dakika,...maisha ni vita