.

maajabu ya diwani wa kwala kuchinja ng'ombe mkutanoni..

maajabu ya diwani wa  kwala ni baada ya kuamua kuchinja ngombe na kuandaa wali wengi ili kuwavutia wananchi waje kwenye mkutano  wake wa hadhara alioufanya katika kata ya kwala tarehe 26/4/2012 ..diwani huyo wa tiket ya ccm hakujali adha wanaoipata wananchi wake kwa kukosa maji safi ya kunywa wa kipindi kirefu sasa ......
 
darasa la shule ya msingi kwala
ila yeye alitafuta pikipiki na kwenda kufwata maji huko mwaloni kwa ajili ya shughuli zima ya kupika wali na nyama kwa ajili ya mkutano wake huo.....


fanya zoezi hii???????
 maeeneo ya kwala ndipo anapopatikana muwekezaji wa kuku kunoga ambaye amesaidia sana kijiji cha kwala kupata maji safi na salama ya kunywa kwa kipindi cha nyuma kabla transforma halija haribika..kwa kipindi kirefu sasa transforma imeharibika na wanakijiji wa huku wanapata mateso makubwa kutafuta maji umbali mrefuuu.
mavazi ya wageni hayo hapo..
maoni ya wanachi yalikuwa yakitofautia sana kuhusu swala hili la diwan kupika wali wakati wao hawana maji wengi walisema kuwa elimu ndogo maeneo ya vijijin husababisha viongozi wetu wengi kujisahau na kufanya mambo kimazoeaaaaaa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...