.

nini dhambi kwa mwenye dhiki???

picha hii kwa hisani ya lilian
tupo na shida zetu vijana wa taifa hili masikini hatuna wa kutuokoa zaidi ya kujiokoa wenyewe....maisha bado magumu na hakuna mbinu mbadala zaidi ya kupambana nayo...tunaumia sana kati yetu tunasalitiana kwa pesa mbuzi ya mchele...tunawabeba walowezi na mwisho watoto wetu wanashida hata kuvaa..tumewaacha kwa bibi zao tunazuga town tupo single ila tunawatoto wanatembea uchi huko vijijin na mjini wa kwetu wenyewe wengine wa dada na kaka zetu....iko wazi hakuna dhambi kwa mwenye dhiki.....Mungu atamvisha vazi la ushindi siku ya mwisho..j2 njema woteeeee.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...