.

ronaldoooooooooooo vs messi mshind ni ronaldo

kipenzi cha wengi  ronaldo leo kafanya kweli kawatupa kule wale wapinzani wake wa kila siku akina messi na timu yao ya barca..kweli ronaldo ni bora hata bila kupambwa na media messi..mmmm ajipange sawa sawa na kocha wa barca anampango wa kumpa maujanja haya kocha wa chelsea ili jumanne iwe rahisi kwao kuwapiga hawa wazee wa QATAR FOUNDATION barcaaa...pole barca ...chenye mwazo hakikosi mwishoo...washawasoma tayari wapinzani...
sokoni kariakoo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...