.

Manu leo na ubingwa mara 20

washabiki wa manu wakiingia ndaani ya uwanja wa old Trafford sasa kuishangilia timu yap ambayo dalili chache zijazo itakuwa ikimenyana na fulham ...huku joto la ubingwa wa ligi likizidi kuwa kubwaa upande wa mau na mancity watoto wa jiji mojaa.....leo itajulikana bivu na mbichi..ushindi wa leo ni muhimu sana kwa hao mashetani wekundu .....watoto wa babu mabigijiiiiiiii....
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...