.

ADC NA CHADEMA BENDERA ZAO SASA..



wapinzani wazidi kuchukua madaraka katika nchi zetu za afrika(hongera senegal) na kuendelea kuwa na wabunge wengi kuliko miaka ya nyumaa..kutokana na hilo basi vyama vingi vimezuka na kuchukua usajili..ingawa sasa kunaukosefu mkubwa wa umakini kwa mfano bendera ya chadema na chama kipya cha ADC zinafanana..hii inamaanisha nini au ndo kimewekwa ili kudanganya wananchi ....hii ndo siasa ya afrika...vyama kwa wingi sio vyama vingi tenaaa.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...