.

Tunatangaza mgao rasmi,,,huu wa nyuma ni rasha rasha tu..

kama vile wananchi wanavyokuwa wakisubiria mvua za vuli na masika ndivyo hiyo hiyo watanzania huwa wakisubiria umeme kuwaka au kukatika...ingawa walipandisha kiwango cha tozo bado mgao wa utaendelea kama kawaida...mimi kwa mawazo yangu  naona tunacheza na masikini wa nchii hii..hawana maji ,hawana umeme,hawana ajira kweli hii nchi si itakuwa jehanamu yao jamani..ukweli unafichwa fichwa kwa sisi wanyonge hatujui APTL ndo nini na hao AGGRECO  juzi tu niliona wanashusha makontena pale ubungo tena chini ya gred ya taifa wakaweka majenereta yao leo wameshaanza kuzingua tenaaa.. Mwananchi tuachane na mambo ya Arumeru tulijadili taifa letu...ges sasa inauzwa 60000 toka 32000 miezi kadhaa iliyopita ...misosi usigure kilo ya mchele 3000..kweli kunakutoka hapa kweli...mungu bariki nchi yetu ya Tanzania.haya sasa washatangaza mgao rasmi na sisi tumeshakubali kukaa giza ila tanesco mjue mlituomba miezi sita ya nyongeza ya bili ikipita hiyo turudishieni tozo za mwanzo...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...