.

wakimbizi wakimbia huku na kule...mali


wakimbizi toka mali wakiwa kijiji cha chinagodrar ,tillabery region,Niger wakikimbia mapigano yanayoendelea nchi mwaoooo...UN yaomba msaada wa chakula na kuomba nchi za jirani zijiandae kupokea wakimbizi wengine  wengi toka mali kuazia sasa.......(ingawa kwao kukame ila maji yapo Tanzania kimara tu maji shida sasa huko singida inakuwajeeee?????tafakariiiiii???)
sokoni kariakoo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...