.

nyimbo ya leo.

uhamiaji kutoka kwa wagosi wa kaya.....okoa hip hop

madaktari wanaotaka kutafuta ajira nje ya nchi wapata usumbufu mkubwa kupata visa..huu mwimbo ni kwao,,,poleni sana madaktari waote mnaotafuta visa bila mafanikio..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...