.

jack amchangia sajuki mil 15 cash

muigizaji wa  bongo jack wolper  achangia mkwanja mrefuuuuuuuu kwa ajili ya matibabu ya sajuki...bidada katoa milioni 15...hongera yako bidada kwa kujitolea kwa moyo na wengine tunabidi tujitoe kwa dhati si kwa sajuki tu hata wahitaji wengine..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...