.

cris brown na rihanna


rihanna asema nyimbo zao walizoshirikana na x-boy friend wake wa zamani cris brown ilikuwa ni kwa sababu tu hakuwepo mtu wa kufiti kwenye ile ngoma zaidi ya makal icris mzee wa r&b ..kasema hizi nyimbo wezesha mafans wa cris na rihanna kushek pamoja  na kuweka chuki zao pembeni......ziko so real na innocent asemavyo rihanna kibishara zaidi...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...