.

vita vikuu vya pili (manu na mancity)

manu inapewa nafasi kubwa ya kushinda mechi ya leo na mtandao mingi ya kamali inaonyesha inetupa karata yao kwa manu. timu bora isiyotetereka,,,,,shida ndogo ipo kwenye mabek fernand mmm haaminiki sana na leo babu ni lazima apaange mabeki wa ukweli amasivyo analia mapemaaa...kitu cha tevez kimeahidiwa donge kama ataifunga manu na kusababisha mancity ichukue ubingwaaa..waarabu wanakichaa na hili kombe wako radhi kutoa ela hata kwa refa kama atakubalii...leo ni leo ila manu wakifungwwa watajutia uzembe walioufanya kipindi wanacheza na eveton wiki iliyopitaaaaa 
  watoto wa mjini wanasema wapigwe ????????wwengine husema wamejaribu lakini hawatoweza...tutashindaa....uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....................leo ni leo......lekanaeeeee
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...