.

luteni kanali diamond platium..utata mtupu

kavalishwa na kidoti ..............mama joketi kijana ndani ya kata upepo sijui hili ndo lile la chadema au la ccm...ila yote sawa kijana ndo huyo hapo...chezee wabana sauti weweeeeeee  kweli hip hop haiuzi kibongo bongo.....so inabidi wadau wa hip hop ikiwemo mimi mwenyewe tujipange sanaaaaaaaaaaaa amasivyooo...tutaendelea kukalia kuti kavuu..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...