.

KAULI TOKA SK-NETWORK KUHUSU SAKATA LA DR ULIMBOKA

KAMPUNI YA SK-NETWORK IMEPATA TAARIFA ZA KUPIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA DR ULIMBOKA KWA HUZUMI KUBWA SANA WAKATI HUU MAMIA KWA MAELFU YA WATAZANIA WAKIWA WANATESEKA KWA KUKOSA HUDUMA BORA ZA AFYA NA WAKUNGA WAKIPATA SHIDA KUHUDUMIA JAMII BILA KUWA NA VIFAA VYA KISASA NA MISHAHARA MIDOGO..TUNAOMBA WATAZANIA WAFUNGE NA KUMUOMBEA DR ULIMBOKA APONE MAPEMA NA KUWEZA KUENDELEA NA KAZI YAKE  YA KUTETEA MASILAHI YA MADAKTARI NA WANANCHI KWA UJUMLA MAANA HAKUNA NCHI DUNIA ILIYOFANIKIWA BILA KUWA NA WANANCHI WENYE AFYA BORA NA THABITII...SK-NETWORK INAKUAHIDI ITAENDELEA KUKUPA TAARIFA KUHUSU SAKATA HILI KILA TUTAKAPOPATA TAARIFA.....KWA SASA DR ULIMBOKA ANATIBIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI.......ASANTENI....
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...