SK NETWORK ,HOME OF FASHION,NYUMBA KUBWA YA FASHION EAST AFRIKA.,SEX,SWEET,HOT,FREESTYLE,ALL COLOUR,95%,VIWALO,WAREMBO,SUPERSTAR,WAZURI TU.
michuzi michuzi ya CCM NA CHADEMA
je hii kauli mbio ya vua gamba vaa gwanda ina maana gani?je ushawahi tafakari dhumuni kuu la wavua magamba na kukimbia gwanda...au ndo kama msemo wa siku hizi usemavyo unanuka kaoge?hiyo kuoga kisiasa kwa hapa bongo ni kuvaa gamba ..fasta .au??? m bado natafakari ipo siku nitakuja na jibu...ila kwa sasa m yangu machooooooooooooooooo..wanasiasa kumbukeni kila siku vitu vinapanda bei,, wakubwa ..tunakufa sisi watu wa hali ya chini...............tuoneeni huruma japo kidogo wakubwaa.