SK NETWORK ,HOME OF FASHION,NYUMBA KUBWA YA FASHION EAST AFRIKA.,SEX,SWEET,HOT,FREESTYLE,ALL COLOUR,95%,VIWALO,WAREMBO,SUPERSTAR,WAZURI TU.
vua kanga vua kofia vaa gwanda(chadema &ccm)
kesho majira ya saa nane mchana kutakuwa na mkutano mkubwa wa chadema viwanja ya jangwani ukiwa ni mfululizo wa ile season ya kuvua kanga na kofia na kuvalisha gwanda na kuingia vitani...unaongeshwa pale jangwani kesho unapata ubatizo wa kisiasa............N.B nyie wanasiasawa sasa kumbukeni huku kitaa hizo sera zenu bado hazijaa matunda ya moja kwa moja bado mateso ni makubwa sana kwetu sisi wananchi wa hali ya chini kweli tunateseka tunahitaji nguvu yenu muiweke kwenye vitu vya msingi sio vaa kanga vaa ngandwa pekee yake..hadi leo sukari bado juu,umeme juu,maji juu nyie mnagangana na vaa gwanda vua kanga ...