50 cent
msanii 50 cent yuko hoy kitandani akiugulia maumivu ya tumbo aliyoyapata kutokana na kula bagaaa bayaa ...kijana wamenuonya asije akafa kisa baga itakuwa ni soo kwa gangstar rapper kama yeeeee...hayo ni maneno ya mtu mzima eminem akimuasa 50 cent na kumpa poleeeee