.

mapenzi "Hatari sana"

masikini totooo huyoo kashazama katika mapenzi mapema .....je unadhani kuna watoto wangapi dunia kwa sasa wanaoonyesha hisia zao wazi wazi za kimapenzi kwa watoto wenzao..chukua hatua mlinde mwanao kwa kuhakikisha nanayafahamu mambo ya dunia kulingana na umri wake..si kila kitu kinawafaa watoto wetuu...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...