.

kanumbathegreat.blogspot.com

mungu akulaze mahala pema peponi ma bro...katika watu niliochagua kuweka blog zao kwenye blog yangu ilikuwa ni wewe kwa kuwa nilikuwa najua jamii inapenda kujua unafanya nini mara kwa mara...ulikuwa ni kioo kwa wengine na K100 1NC imetokana na wewe ...nilikuona mara ya mwisho uso kwa uso kweny maafali ya frm six jitegemee toka hapa bro ulikuwa umetoka choo kubadilisha nguo ili uende kucheza mziki ...long timme sana bro da sita kuona tena ...ukitembea juu ya ardhi...lakini tutaonana kwa Ala one dayyyyyyyyyyyyyyyy....R.I.P MA BROOOOOOOOOOOOOOOOO.....
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...