.

robo uchi..hili ni janga la kitaifaaaa

sasa kwa hali hii ya uchumi kupanda bei kweli ubunifu unahitajika wa hali ya juu..ila cha kushangaza ni kwamba tumapambana na kuzuia maambukizi mapya ya ukimwi mchana usiku kinachotokea si tuakijua wote...so inabidi tubadilike jamani hata kumtega mwezio mwisho mara mmoja tu....ukinitenga mara ya pili nakufungulia mashitaka ya uhaini.....dada zetu hasa nyie mliojawaliwa mapaja makubwa punguzeni hiz swagaaaa sio ishu mtatumalizaaaaaa
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...