kama tungekuwa tunaweza kuvumiliana kwenye mahusiano kama walivyo igiza hawa watu hapo juu..kweli kungekuwa hakuna talaka...hivi kuna mwanamke msumbufu kama huyu....waigizaji wetu umizeni kichwa acheni kumbela na idea za kuigana...fanyeni kweli kama hawa....asanteni...siku njemaaaa