umeona jamaa anavyojituma kazini harafu wabongo wanakuja na kuburn tu cd au wanaazima hawanunue hii kweli haki...kijana kaweka maisha yake rehani kwa sababu ya chapaa kweli chapaa ni noma....kazi ni kazi,usizadharau kazi ya mtu..
kijana wangu hapa habari hana yeye na music tu..kweli ipod zilikuja kukomboa watu kama hawa wasioweza kukaa bila spika masikioni......
sokoni kariakoo